• 10 Must Have Decors Kwaajili Ya Nyumba Yako

    Decorating is very personal, nikimaanisha kwamba wewe mwenyewe ndio mwenye kuamua nini kikae ndani mwako na kipi kisiwepo. However, even though you’re free to decorate your home vyovyote vile utakavyo, still kuna vitu vya muhimu ambavyo it’s a must have for every home. These 10 essential decors vinaipa nyumba yako the best look, no matter what style it is you use to decorate your home.


    1. Pillows

    I simply love jinsi pillows zinavyoweza kuifanya nyumba yako ionekane stylish and comfortable!! Iwe mito kwaajili ya matumizi maalumu, ama ni decorative pillows, for me pillows are my number one must have home décor! Si lazima tu mito iwekwe kwenye makochi, unaweza pia ukaweka chini kwenye zuria, kwenye bench ( if you have one), or even on top of your console table. Nothing brings the sense of coziness, both indoors and outdoors than pillows.


    2. Rugs and Mats

    Yes it is! Najua wengi wetu hatutilii maanani small rugs and mats, Ila trust me, they’re a must have decor for any home. Whether it’s a simple doormat, or a stylish bath mat or even a simple rug that you place pahala pa kuingilia ndani mwako, they bring a sense of comfort ambayo mara nyingi huwa tunaipuuzia. Sio tu hivyo, rugs and mats also create nice view and a sense of welcoming in our homes.


    3. Vases & Bowls

    Tell you what, whether it’s a glass one, wooden or clay, vases and bowls are never out of style!! Vases and bowls ni choice namba moja when it comes to style your coffe table, dinning table, consoles and more. So whether unataka ku-display flowers or any ornaments and bring that stylish look in your house, vases and bowls are must have.


    4. Wall Art(s)

    Kuna quite a number of wall arts ambazo unaweza kuzitumia nyumbani kwako. Yaweza ikawa, traditional prints, or morden wall paints, wall weaving au any other design unayopendelea, just keep in mind that wall decor is a must have! Haswa pale unapotaka ku-create a stylish home.


    5. Books & Magazines

    No matter how much technology we bring into our homes, books never go out of style. Yes that’s quite true indeed! Ukiacha a fact that books and magazines entertain us and our guests ( mostly when the food is getting ready 😎), they also bring a sense of comfort and classy in our homes! Books and magazines are one of my favourite way to accessorize my house, and I think it’s a must have for any home.


    6. Mirrors

    Mirrors yes! Sio tu vioo tunavyoweka bafuni, ama vyumbani kwenye dressing table, but also mirrors can be put kwenye hallway, or even study room. You’re asking yourself why are mirrors a must have?? First of all mirrors complete the look of any space,zina-bring in more light into a room na pia vioo vina tabia ya kukifanya chumba kionekane kikubwa! So haijalishi kioo kiwe na shape gani, kubwa au ndogo, or kiwe na frame ya metal or wood, however unayopendelea wewe, just make sure you don’t miss one in your home.


    7. Candles

    Karibu kila nyumba siku hizi ina-collection ya mishumaa, mostly kwaajili ya kutumika when there is a power cut. Well, tell you what, candles can do more than just light up your space. Candles can complement your home’s decor kutokana na rangi pamoja na designs tofauti tofauti ambazo zinakuwaga nazo. Zipo small ones and huge ones, others are plain and some are colorful, the choice is yours. Sio lazima uiwashe, unaweza ukai-arrange tu vizuri kama ni bafuni kwako, or sebuleni au hata chumbani! Don’t forget that, candles also bring in the sense of romance when they’re lit!


    8. Personal Collections

    Kuna vitu ambavyo kila mmoja wetu anapendelea kua navyo ndani mwake, and without them you feel like your home isn’t complete! Well, I say it’s a must have!! Whatever that is, either it’s a clock on your wall, or a collection of family photos, just display them kama unavyo-display home decor nyingine. Kwa upande wangu mimi, if I don’t have music system in my home, aisee my home isn’t complete!


    9. An Ottoman Bench

    Ottoman benchs always come in hand pale unapohitaji extra seating. They can be put in many places in a house na zika-fit perfectly. Unaweza weka sebuleni, a the foot of a bed, sehemu ya kulia chakula or even in a hallway. Ili kunogesha zaidi, unaweza ukatengeneza ambazo zina hidden storage and store bags, shoes, hats and things or that sorts.


    10. Statement Lighting

    Kila mtu anahitaji japo one great light. Inaweza ikawa taa kubwa ya kuning’iniza, or a nice table lamp, au hata taa za kisasa zinazowekwa kwenye floor haswa kwenye ngazi au kwenye kingo za sakafu. Trust me lights always add a wow factor to a room! Just have one, and you’ll thank me later!


    That’s it for today. Remember these are my opinions, you can style your house however you want and still look amazing! But for me I recommend these decors never to miss in your home! Please let me know down below, which among of these 10 decors you have in your home, or if not, which one of them you’re going to add? Thank you for reading, please share kwa wengine!

  • Jinsi Ya Kuipa Nyumba Yako Holiday Vibes

    Hellooo… Welcom to my blog! Leo ninakupa 7 tricks za kuji-feel upo vacation when you’re at home. Pengine you’re on holiday but you could not get a chance to travel, or kwa sababu zingine tu umeamua kutokusafiri. Here below are 7 tricks to help you with your staycation!

    Nukisha  Nyumba Yako Holiday Scents

    Manukato yana nguvu kubwa ya kutusafirisha kifikra, so washa mishumaa yenye kunukia ndani mwako iwe sebuleni, chumbani or anywhere else in your house. Unaweza pia ukaweka fresh flowers, hii inasaidia kuinukisha nyumba yako manukato ambayo yatakukumbusha mahali ungependa kuvisi this holiday season.

    Tengeneza Holiday Dishes 

    Misosi tunayokula siku zote huwa inatofautiana na misosi tunapendelea kula nyakati za sikukuu. Let yourself know that the holiday season has started by filling your house with the holiday dishes aroma! Unaweza pia ukajaribu new recipes kwa kuzitafuta online, or run to your nearby bookstore and buy a cookbook.

    Tambua Nini  Kinafanya U-relax

    Tengeneza Comfortable Outdoor Furniture

    Ni vyema ukatambua ni vitu gani au ni mambo gani huwa yanakufanya u-relax uwapo nyumbani. Is it a comfortable armchair by the window? Au ni mahala tulivu unapoweza ku-chill kusoma gazeti lako on a Sunday morning? Kutambua haya kuta ku-inspire uipe nyumba yako a holiday vibe.

    Huwezi kuipata vibe ya holiday ukiwa unashinda ndani. Tengeneza viti vya nje ambavyo ni comfortable and cosy too, and spend as much time as possible ukiwa outdoor. Take that adventurous novel, or a magazine, sit on your porch, au kaa chini ya kivuli cha mti, and poor yourself a cold lemonade!

    Tumia Vyema Muda Wako Wa Bafuni

    Set aside lisaa limoja au mawili kwaajili ya me-time and spoil yourself with some quality times in your bathroom. Nunua sabuni zenye manukato mazuri, na mapambo mazuri ya bafuni. Kama una bathtab make some bubbles! Huu pia ni wakati mzuri wa kusikiliza nyimbo zako pendwa. What a relaxation!!

    Cook Outside

    Take advantage of being home kwa kufanya most activities outside, cooking  being one of them. Create a fun and open space for outdoor cooking, unaweza pia alika some friends and relatives or even your work colleagues. Kupikia nje pia kunalipa jiko lako la ndani nafasi ya  kupumzika na pia it’s remove the food aroma that always lingers inside your house when you cook.

    Add Some  Colors 

    Kubadilisha mazingira ni moja kati ya sababu kubwa za kwenda vacation! Make  some beautiful and colorful plants be part of your everyday viewing. Ukiacha kupendezesha nyumba, maua pia huwa yanazisafirisha fikra zetu to places that, it’s either we’ve been to, or we wish to go.  Go buy potted flowers au tengeneza bustani nje kama una nafasi ya kutosha, and turn your house into a fresh destination!

    Hope you’ve enjoyed guys and that you gonna have good times in your staycation! Please leave a comment or suggestions below. Na kama una topic ambavyo ungependa niizungumzie please don’t hesitate to tell me.

Design a site like this with WordPress.com
Get started